Mtunzi: Abudu Siprian Francis Bugwayo
> Mfahamu Zaidi Abudu Siprian Francis Bugwayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Abudu Siprian Francis Bugwayo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Venance Nkolabigawa
Umepakuliwa mara 589 | Umetazamwa mara 1,381
Download Nota Download MidiAMANI TANZANIA
1. Mungu Baba twakuomba, Ututazame watanzania, sisi wana wako tunakulilia x2
Kiitikio: Tuepushe na machafuko, tusitende matendo maovu, tuimalishe kiimani sote tujenge taifa letu x2
Ee Mwenyezi Mungu Baba tunakulilia twaomba amani idumu (idumu) {miongoni mwa watanzania x2}
2.Mungu Baba twakuomba, uondoe chuki za udini, sisi wanawako tunakulilia x2
3. Mungu Baba twakuomba, uwaimarishe viongozi, waweze kutenda haki kwa kila mmoja x2
5. Mungu Baba twakuomba, uondoe chuki za ukabila, sisi wana wako tunakulilia x2
4. Mungu Baba twakuomba uondoe chuki za siasa sisi wana wako tunakulilia x2