Ingia / Jisajili

Tujongee Mezani Kwake Bwana

Mtunzi: Abudu Siprian Francis Bugwayo
> Mfahamu Zaidi Abudu Siprian Francis Bugwayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Abudu Siprian Francis Bugwayo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Venance Nkolabigawa

Umepakuliwa mara 297 | Umetazamwa mara 1,292

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUJONGEE MEZANI KWAKE BWANA 1. (a) Tujongee Mezani kwake Bwana twende tukale chakula (b) Ni chakula kweli chake Bwana chenye uzima wa milele. KIITIKIO Anatualika mezani kula nakuinywa damu yake, mwili wa Bwana Yesu nayo damu ndiyo uzima wa milele. 2. (a)Kwanza tujitakase tustahili, kumpokea Yesu Kri-sto, (b) Wanaompokea Bwana Yesu Wanayo heri y Milele 3. (a) Aulaye Mwi-li wake Bwana, ana uzima wa Mile-le (b) Ndani yake Bwa-na Yesu Kristo, zimo he-ri za mbingu-ni 4.(a) Ndani yake Ye-su Kristo kuna tunu, kuna tu-nu za Mbingu-ni, (b) Upatanisho wetu naye Mungu, upo nda-ni yake Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa