Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thadeo Mluge
Umepakuliwa mara 959 | Umetazamwa mara 2,032
Download Nota Download MidiWAWATA OYEEE…!!!
1. (Wawata oyee…) wawata shangwe (wawata oyee…) wawata shangwe
Palipo na mama kuna amani, palipo na mama
furaha ipo,
(wawata shangwe) wawata shangwex2
2. (Wawata oyee…) wawata shangwe (wawata oyee…) wawata shangwe
Palipo na mama kuna upendo
palipo na mama maendeleo,
(wawata
shangwe) wawata shangwex2
3. (Wawata oyee…) wawata shangwe (wawata oyee…) wawata shangwe
Palipo na
mama kuna faraja, palipo na mama mafanikio,
(wawata shangwe) wawata shangwex2
4. (Wawata oyee…) wawata shangwe (wawata oyee…) wawata shangwe
Palipo na
mama kuna huruma, palipo na mama matumaini,
(wawata shangwe) wawata shangwex2
5. (Wawata oyee…) wawata shangwe (wawata oyee…) wawata shangwe
Palipo na
mama ni shangwe tupu, palipo na mama vigelegele,
(wawata shangwe) wawata shangwex2