Ingia / Jisajili

Baba Ninawaombea Hawa.

Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Thadeo Mluge

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 54

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA NINAWAOMBEA HAWA Baba ninawaombea hawa nao wawe ndani yetu *(ili) ulimwengu ujue (tena) usadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyeni-tuma.*x2 1. Kama vile wewe ulivyonituma mimi nami vivyo hivyo naliwatuma kwa ulimwengu. 2. Kwaajili yao najiweka wakfu mwenyewe ili hao nao watakaswe kwa hiyo kweli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa