Ingia / Jisajili

Ametamalaki

Mtunzi: M. C. Mabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za M. C. Mabogo

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 25,350 | Umetazamwa mara 44,824

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

MSAFIRI PASCAL KUMBO Nov 15, 2021
Mungu ambariki sana MC Mabogo kwa kazi nzuri ya kanisa anayoendelea kuifanya haki anastahili tuzo ya mbinguni

kizito mathew Apr 22, 2021
Hakika nabalikiwa bwana ametamalaki

Blasius Martin Sep 27, 2019
Tumsifu yesu kristu naitwa Blasius Martin Niko Tanga nimeuoenda wimbo Habari za Yesu naomba uweke nota yake

Patrick Mtanga Mar 13, 2019
Ukweli ni kwamba nyimbo za M. C. Mabogo ni Nzur Sana, pia ni mtunzi ambaye yupo makini Sana katka utunzi wa nyimbo zake, namkubali Sana huyu jamaa. Hivyo bac tuwekeeni wimbo wa "NITAWAPA UZIMA" uliyotungwa na mtunzi M. C. Mabogo tafadhali ni wimbo mzur Sana.

plus nichoas Sep 12, 2018
Naomba winning WA Nitawapa uzima umetungwa name Mussa. c. mabogo. MA umeimbwa na kmk queens makuburi

chirstna elac Mar 15, 2017
hogelen

Vitus A Mwel Dec 28, 2016
Hakka Ndugu Waimbaji Ukweli Nyimbo Za Mabogo Nazikubali Sana,

nyagawa Jun 01, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa