Mtunzi: Agapito Mwepelwa
> Mfahamu Zaidi Agapito Mwepelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Agapito Mwepelwa
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakuliwa mara 537 | Umetazamwa mara 1,560
Download Nota Download MidiAMEZALIWA.
Amezaliwa mtoto Mwanamme, mwenye uweza mabegani mwake.
Mashairi:
1. Amezaliwa kwa ajili yetu, tuimbe sote aleluya, aleluya.
2.Mwenye Ufalme mabegani mwake, naye ataitwa mshauri wa ajabu.
3.Utawal wake si wa Dunia, Utawala wake ni wa Mbinguni.