Ingia / Jisajili

Utafuteni Kwanza Ufalme

Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Kelvin Tumaini

Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,408

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Utafuteni kwanza ufalme wa mbingu

Kiitikio: Utafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine yote mtapewa kwa ziada*2 Msiwaze mtakula nini mtavaa nini wala mavazi hayo mtapewa kwa ziada*2


  1. Nanyi mwajitaabisha kwaajili ya mavazi fikirini maua shambani hayafanyi kazi haya vumi lakini Sulemani hakupendeza kama maua hayo
  2. Basi msijisumbue kwa chakula wala mavazi tazameni ndege wa angani hawapandi wala hawavuni lakini baba yenu wa mbinguni huwalisha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa