Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Kelvin Tumaini

Umepakuliwa mara 994 | Umetazamwa mara 1,878

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako, wala hakuna awezaye, awezaye kukupinga ukipenda

Mashairi:

  1. Uliziumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake
  2. Uweza wako u juu ya yote usikilize sauti yao wakuitao


Maoni - Toa Maoni

Kayanda junior Nov 12, 2023
Fupi kali

Toa Maoni yako hapa