Mtunzi: Herman Gervas
> Mfahamu Zaidi Herman Gervas
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: HERMAN GERVAS
Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 26
Download Nota Download Midi1. Shangwe zasikika kutoka pande zote za Dunia, Nifuraha imetawala Masiha kazaliwa
KIITIKIO: Amezaliwa (kazaliwa) ni mkombozi wetu wa ulimwengu x2 Haya njooni tuimbe kwa shangwe, tumempata mkombozi (haya) Tufurahi na tushangilie (oh!) sote twimbe aleluya x2.
2. Ndiye Mungu mwenye nguvu mfalme wa wafalme, na uweza wa kifalme u mabegani mwake
3. Twimbe aleluya tushangilie kuzaliwa kwake, Amekuja kututoa kwenye utumwa wa dhambi
4. Twende na zawadi tukamsujudie mtoto, Ni masiha, amezaliwa Mungu pamoja nasi.