Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda Vitu Vyote

Mtunzi: Herman Gervas
> Mfahamu Zaidi Herman Gervas

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: HERMAN GERVAS

Umepakuliwa mara 280 | Umetazamwa mara 424

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba x2 1. Unawasamehe watu dhambi zao kwa ajili ya kufanya kitubio. 2. Unayo huruma kwa watu wako, kwakuwa ndiwe Bwana Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa