(Amini nawaambia)x2 mmoja kati yenu ninayekula pamoja naye, atanisaliti nawaambia. (Je ni mimi Bwana, Je ni mimi, Je ni mimi Bwana, Je ni mimi?)x2
1.Ole wake Yuda aliye msaliti Yesu Kristu mwanawake Baba
2.Aliyetia mkono wake pamoja nami ndiye yule atanisaliti.
3.Ingekua heri kwake yule mtu kama asingelizaliwa.