Ingia / Jisajili

Kwa Ajili Yetu Mtoto Amezaliwa

Mtunzi: Edward Rabi
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward Rabi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gerald Ndimbo

Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 350

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KWA AJILI YETU MTOTO AMEZALIWA Kwaajili yetu mtoto leo amezaliwa tumepewa mtoto mtoto mwanaumex2 na yeye ataitwa jina lake Emanueli ni Mungu mwenye nguvu ni Mungu pamoja nasi aleluyax2 1. Maana kwa ajili yetu, mtoto amezaliwa tumepewa mtoto mtoto mwanaume. 2. Na yeye ataitwa jina, mshauri wa ajabu ni Mungu mwenye nguvu baba wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa