Mtunzi: Goodlack Fute
> Mfahamu Zaidi Goodlack Fute
> Tazama Nyimbo nyingine za Goodlack Fute
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 576 | Umetazamwa mara 1,955
Download Nota Download MidiMmoja wa mafarisayo alimwuuliza yesu ni amri ipi iliyo kuu? yesu akamjibu umpende bwana MUNGU WAKO kwa moyo wako wote ,kwa roho yako yote na kwa akili yako yote hii ndiyo iliyo amri kuu na ya kwanza.