Mtunzi: Joseph Nyagsz
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyagsz
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: JOSEPH MOSIORI
Umepakuliwa mara 3,184 | Umetazamwa mara 7,355
Download Nota Download MidiANAKUJA MASIHA Anakuja masiha,anakuja mtawala (kweli) anakuja anakuja kutuokoa. 1. Ziwasheni nyoyo zenu,naye apate 'ingia, anakuja anakuja kutuokoa. 2. Tumpokeeni mfalme amekuja mtawala,anakuja anakuja kutuokoa. 3. Mbingu zote zafurahi kwa ukuu wake kweli,anakuja anakuja kutuokoa.