Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 2,330 | Umetazamwa mara 4,300
Download Nota Download MidiApandaye haba, atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu, atavuna kwa ukarimu x2.
1}Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala si kwa lazima.
2}Maana mwenyezi Mung humpenda atoaye kwa moyo mkunjufu na kuwajaza kila Neema kwa wingi.
3}Ili ninyi mkiwa na Riziki za kila namna siku zote mzidishiwe kwa kila tendo jema.