Ingia / Jisajili

NAWAPA AMRI

Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakuliwa mara 415 | Umetazamwa mara 1,290

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

  NAWAPA AMRI.

Nawapa Amri mpya mpendane x 2, kama vile mimi nilivyowapendavyo, Nanyi kaeni katika pendo x 2.

Mashairi:

1.Wapenzi tupendane, tupendane, Pendo latoka kwake Mungu wetu.

2.Tukipendana sisi siku zote, Na Bwana atatupenda daima.

3.Tuwapende na Maadui zetu, Wala tusiwe watu wa visasi.

4.Neno Pendo, limetoka kwa Mungu, Nasi tulitimize kwa Vitendo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa