Ingia / Jisajili

Apewe Sifa

Mtunzi: Zacharia Gerald
> Tazama Nyimbo nyingine za Zacharia Gerald

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 28,200 | Umetazamwa mara 35,192

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

PHOTONATUS DEODATUS Apr 26, 2024
Wimbo mzuri Sana,, hongera Sana mwalim

Hellen Jan 17, 2023
Wimbo mzuri Sana pia Una mtiririko mzuri sana

Alexander Mulili Nov 27, 2021
Wimbo mzuri kweli, hongera sana mwalimu Zacharia.

Misheck mutethia Oct 31, 2021
Iko fine kabisa

Gerald Wathum Oct 23, 2021
Uganda

Emmanuel Nov 20, 2020
Nyimbo nzuri sana Sifa apewe Mungu

numericalpillar Nov 12, 2019
Hongera tu saana mtunzi. Nyimbo zako ni nzuri. Mungu akupe ujasiri wa kuendelea na utunzi. SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU....Heee .

Arnold Jul 27, 2018
wimbo huu ni mzuri sana i do appreciate

Yustino MASANGULA Feb 13, 2018
Wimbo huu ni mzuri sana na kila niuimbapo kweli najisikia kumpa sifa Mungu.

George Grayson Nov 01, 2017
Wimbo ni mzuri na una maadili yote ya kiliturujia. Hakika Sifa na Utukufu ni kwa Mungu

michael nzuki muthama Oct 21, 2017
kuimba ni raha,napenda sana

Auko Benard Sep 19, 2017
wonderful choir lovely changing the face of catholic church

Toa Maoni yako hapa