Ingia / Jisajili

Tegemeo Letu

Mtunzi: Zacharia Gerald
> Tazama Nyimbo nyingine za Zacharia Gerald

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: William Yohana

Umepakuliwa mara 1,065 | Umetazamwa mara 1,014

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Joseph kyalo Sep 16, 2025
Tengemeo ni wimbo zuri Sana

Joseph kyalo Sep 16, 2025
Uimbaji mziri

TOROMA Sep 13, 2025
Nimebarikiwa kwa maneno ya wimbo huu na mahadhi yake. Mtunzi barikiwa saana na Mungu azidi kukujalia kungu za kumtumikia vyema.

Calvin Yamba Sep 07, 2025
Hongera sana Mwalim Zacharia Mungu azidi kuinua karama uliyonayo tuzidi kubarikiwa na nyimbo zako

Emanuel Tluway Sep 01, 2025
Hongera mwamba wimbo umemetulia ujumbe kuntu

Toa Maoni yako hapa