Mtunzi: Nsato Thobias D.
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsato Thobias D.
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Goliath Nkana
Umepakuliwa mara 1,518 | Umetazamwa mara 4,074
Download Nota Download MidiAsante Baba Muumba wetu kwa mema yako utupayo x2
1. Umetulisha mkate wa mbingu, Twakushukuru asante
2. Umetunywesha divai bora, Twakushukuru asante
3. Watupatia riziki yetu, Twakushukuru asante
4. Watuongoza kwenye makao, Twakushukuru asante