Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: pius kabanya
Umepakuliwa mara 480 | Umetazamwa mara 1,753
Download Nota Download MidiAsante Bwana (Bwana) twakushukuru x2 Kwa mema yako uliyotujalia x2
1. Umetulisha mkate mkate wa mbinguni, chakula cha uzima wa rohozetu.
2.Umetunywesha divai divai ya mbinguni, kinywaji cha uzima wa roho zetu.
3. Hakika wewe Bwana unatupenda, upendo wako Bwana ni wa ajabu.
4. Hupendi hata mtu mmoja apotee, bali awe na uzima uzima wa milele.