Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya
Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo
Umepakiwa na: pius kabanya
Umepakuliwa mara 541 | Umetazamwa mara 1,621
Download Nota Download MidiBwana atawabariki watu wake kwa amani, atawabariki watu wake kwa amanix2
1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu
2.Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwana kw uzuri wa utakatifu.
3. Sauti ya Bwana i juu ya maji, Bwana juu ya maji mengi.
4. Sauti ya Bwana ina nguvu, sauti ya Bwana ina adhama.