Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Thadeo Mluge
Umepakuliwa mara 931 | Umetazamwa mara 2,737
Download Nota Download Midi1. Njoni waumini tumshukuru Mkombozi,
Kwa zawadi hii ya mwili wake chakula kwetu. Tuseme
Asante (Bwana) asante (Bwana Yesu) asante twashukuru we Bwana Yesu. (Na tena) Asante (Bwana) asante (Bwana Yesu) asante twashukuru we Bwana Yesu.
2. Njoni waumini tumshukuru Mkombozi
Kwa zawadi hii ya Damu yake kinywaji kwetu tuseme
3. Ni Mwiliwe kweli mkate huu wa ngano safi
Ni Damuye kweli divai hii ya mzabibu tuseme
4. Chatupa uzima Chakula hiki kitakatifu
Twaishi milele tukpokea inavyobidi tuseme
5. Huja ndani yetu nasi hukaa nda-ni yake
Twabaki salama tukiungana na Bwana Yesu tuseme