Mtunzi: Nestory C. Madaso
> Mfahamu Zaidi Nestory C. Madaso
> Tazama Nyimbo nyingine za Nestory C. Madaso
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 619 | Umetazamwa mara 2,290
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Asante ee Mungu, ninakushukuru sana. X2,
Kwa kunipatia kibali, kwa kunipatia kibali chakuiona siku ya leo. X 2.
1. Wengi walitamani kuiona siku hii ya leo, lakini kwa mapenzi yako hawakuweza kuiona siku ya leo.
2. Sio kwamba mimi ni mwema sana, bali unanipa nafasi ya kutubu dhambi nilizozitenda.
3. Sitachoka kukusifu, na kukushukuru wewe, nakuzitangaza sifa zako bwana ningali hai.
4. Na familia yangu itakusifu Bwana, na kuzitangaza sifa zako Bwana tungali hai.