Ingia / Jisajili

Asante Kwa Ukarimu

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 736 | Umetazamwa mara 2,168

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MASHAIRI

1.Ni jambo jema kumshukuru MUNGU kwani ametenda mengi mazuri sana (ni mema mengi yasiyo na idadi) ee Bwana asante

2.Alituumba kwa sura na mfano wake alifanya hivyo ilitufananenaye( ni MUNGU ndiye atupendaye sote) ee bwana asante.

3.Aliteswa akafa pale juu msalabani ili sisi tuokoke kupitia yeye(upewe sifa{Yesu} jina lako lihimidiwe) milele yote.

Kiitikio

Ee MUNGU asante sana kwa ukarimu wako ulionitendea Ee MUNGU asante sana kwa wema wako wote ulionitendea(Mimi sinabudi kusema) asante mungu asante tena sana.

Hitimisho(CODA)

Uhai umenipa akili umenijalia nguvu nazo umenipa ridhiki nalo umenipa Bwana Mimi Bwana(nashukuru Bwana MUNGU wangu Mimi)Bwana MUNGU wangu Mimi Bwana wanipenda sana (asante asante)×2.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa