Ingia / Jisajili

Ee Mungu kwa wema

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 453 | Umetazamwa mara 1,105

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu Ee Mungu kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa.×2 1.Wenye haki watafurahi nakushangilia uso wa Mungu Naam, watapiga kelele kwa furaha. 2.Baba wa Yatima na mwamuzi wa wajane Huwatoa wafungwa wakae hali yakufanikiwa. 3.Ee Mungu upinyesha mvua ya neema Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa