Mtunzi: Frt. Vicent Mutegeki
> Mfahamu Zaidi Frt. Vicent Mutegeki
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Vicent Mutegeki
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Mutegeki Vicent
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiASANTE KWA WEMA WAKO
1. Ni vyema nikushukuru kwa wema wako,
Mlango wa furaha umenifungulia.
Asante kwa wema wako Mungu ninakushukuru
Asante Mungu kwa baraka na neema (siku zote)
Nitakuimbia nyimbo ee Bwana Mungu wangu pokea shukrani zangu.
2. Nikurudishie nini ewe Mungu wangu,
Kwa ukarimu wote uliyonitendea.
3. Nitakutimizia Mungu nadhiri zangu
Nitakutimizia mbele ya watu wote.
4. Nitakutimizia ahadi zangu
Mbele ya watu wote Mungu nakushukuru.
Mungu wangu wema wako kwangu mimi ni mkuu kikushukuruje
Utukufu nakurudishia Mungu asante kwa wema wako
Bwana nasema asante kwa neema zako Bwana Asante.