Ingia / Jisajili

Mtoto Yesu Leo Amezaliwa

Mtunzi: Frt. Vicent Mutegeki
> Mfahamu Zaidi Frt. Vicent Mutegeki
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Vicent Mutegeki

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Mutegeki Vicent

Umepakuliwa mara 195 | Umetazamwa mara 491

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mtoto Yesu leo amezaliwa, amezaliwa Masiha tuimbe kwa shangwe x2 Malaika mbinguni nanaimba utukufu, utukufu juumbinguni x2 1. Twnde wote tukamuone Bethlehem, Hima twende, twende kwake na zawadi- amezaliwa 2. Mwokozi Yesu leo hii amezaliwa, njooni wote twende tukamwabudu- amezaliwa 3. Neno wa Mungu amekuja kwetu leo, ni mwana wa mungu kweli twimbe kwa shangwe-amezaliwa.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa