Ingia / Jisajili

Asante Mama Maria

Mtunzi: Erick Daniel Kassindi
> Mfahamu Zaidi Erick Daniel Kassindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Daniel Kassindi

Makundi Nyimbo: Mama Maria | Shukrani

Umepakiwa na: ERICK DANIEL KASINDI

Umepakuliwa mara 317 | Umetazamwa mara 502

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Asante mama, asante sana mama Maria asante mama wa mwokozi Yesux2 Baraka za mwana wako tunazipata mama yote hayo ni kwa maombezi yako, tunakusihi mama mwema zidi kutuombea kwa mwanao ili tufike mbingunix2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa