Mtunzi: Erick Daniel Kassindi
> Mfahamu Zaidi Erick Daniel Kassindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Daniel Kassindi
Makundi Nyimbo: Miito | Ubatizo
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 315 | Umetazamwa mara 1,342
Download NotaNjoni njoni njoni njoni watoto wapendwa.Bwana amewateua ili muwe wateule wake,Leo sasa mmekuwa wanae pia viumbe wapya,zitunzeni sasa kwa uaminifu ahadi za ubatizo.
1.Leo hii mmempokea mwana wa kristo,ingieni sasa zizini mwake Bwana Mungu wetu.
2.Mmekuwa wana kanisa na wana wa Mungu karibuni sasa zizini mwake Bwana Mungu wetu.
3.Mwanga mlioupokea ni ishara ya kwamba,mkimwita Mungu ataitika na kuwapa nguvu.
4.Muwe nayo matendo mema maishani mwenu,mkimwita Mungu ataitika nakuwapa nguvu