Mtunzi: Sebastian Mbalaji
> Mfahamu Zaidi Sebastian Mbalaji
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Sebastian Mbalaji
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 27
Download NotaAsante Mungu kutulisha chakula, Asante Mungu kwa kutunywesha*2 Umetulisha chakula cha Mbingu, Bwana umetunywesha kinywaji safi Asante Mungu twashukuru*2
1. Mwana wa Maria tunakushukuru, kwa kutulinda kwa wiki nzima Asante Mungu twashukuru.
2. Umetujalia mema yasiyo na mwisho Asante Bwana Yesu tunashukuru.