Ingia / Jisajili

Asante Mungu

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 22,576 | Umetazamwa mara 39,806

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
 1. Ehee nakumbuka kule nilikotoka; Ahaa najiuliza mimi nisemeje
  Ehee kigugumizi kinanikamata; Ahaa najiuliza mimi najihoji tu

  Sina neno mimi sina jipya la kusema, umetenda wema mpaka unanishangaza. Nashukuru Bwana asante Mungu tena sana asante, asante Mungu sina maneno asante asante Mungu

 2. Ehee ulinigusa tumboni mwa mama; Ahaa...
  Ehee nikazaliwa tayari kwa kazi; Ahaa...


 3. Ehee ukanipa kuwainua watu; Ahaa...
  Ehee wakakuimbia na kukusifu; Ahaa...

 4. Ehee dunia iliponishambulia; Ahaa...
  Ehee ukasimama ukanitetea; Ahaa...

 5. Ehee nitakuimbia na nyumba yangu; Ahaa...
  Ehee tutakusifu siku za uhai; Ahaa...

Hitimisho

Ama kweli iya unanishangaza wewe ni mwema,
Ama kweli iya unapenda watu wewe ni mwema,
Ama kweli iya unawathamini wewe ni mwema,
Nashukuru hiya Nashukuru sana wewe ni mwema
Nakusifu hiya nakusifu sana wewe ni mwema
Siku zote hiya nitakuimbia wewe ni mwema we ni mwema wewe ni mwema (ni mwema) wewe ni mwema na mpole wewe ni mwema ni mwema wewe ni mwema ni mwema Hiya


Maoni - Toa Maoni

France Dec 06, 2018
kweli unajitahidi sana na mungu azidi kukubariki.

Bernard Shabile Jul 29, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu.wimbo mtamu wenye mafundisho mazuri

Toa Maoni yako hapa