Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 3,085 | Umetazamwa mara 7,029
Download NotaKiitikio
Asante Yesu Kutulisha Chakula Toka Mbinguni
Asante Yesu Kutulisha kwa mwili na damu yako
Umetulisha, umetunywesha asante Ee Bwana
Asante Yesu Kutulisha kwa Mwili na Damu yako
Mashairi
1. Mwili na damu yako ni chakula cha roho zetu tunakuomba utushibishe siku zote
2. Aulaye mwili wako pia nakuinywa damu yako huyo anao uzima uzima wa milele
3. Tunakuomba Bwana siku zote utushibishe kwa mwili na damu yako tupate uzima