Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 1,384 | Umetazamwa mara 4,798
Download Nota Download MidiKiitikio:
Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri nahekima na nguvu naheshima(kuupokea) uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima x2
Mashairi:
1.Utukufu naukuu unayeye hata milele na milele.
2. Sauti za malaika pande zote za kiti cha enzi zikasikika zikisema.