Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 2,057 | Umetazamwa mara 5,780
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C
KIITIKIO.
Njoni njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbele za Bwana Bwana aliyetuumba (kwamaana) kwamaana yeye ndiye Mungu wetu Mungu wetu x2
MASHAIRI.
01. Njoni tumwimbie Bwana, tumfanyie shangwe mwamba mwamba wa wokovu wetu
02. Nasi tuwatu wa malisho, watu wa malisho yake na kondoo za mkono wake
03. Tuje mbele mbele zake, mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi