Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,461 | Umetazamwa mara 6,561
Download Nota Download MidiAsema njoni wote mbele ya meza yangu mkale mwili wangu na kunywa damu yangu
1. Atakaye nifuata huyo kamwe hapotei
2. Atakaye nipokea yu mzima siku zote
3. Atakaye nila mimi nitakaa ndani
4. Atakaye niamini siku zote niko naye
5. Mimi kweli ni uzima anilaye hatakufa