Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,644 | Umetazamwa mara 4,356
Download Nota Download MidiAsifiwe Mungu Baba na mwana na roho mtakatifu kwa sababu ametufanyizia huruma yake x2
1;Asifiwe Mungu baba [yetu] asifiwe Mungu mwana na roho mtakatifu.
2;Mungu katuumba sisi [sote] ona tunavyopendeza twapaswa kumshukuru.