Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,374 | Umetazamwa mara 3,767
Download Nota Download MidiKiitikio
Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo Wala hukichukii Kitu chochote ulichokiumba X2
Shairi
Unawasamehe watu dhambi zao Kwa ajili ya kufanya kitubio nakuwahurumia Kwa Kuwa ndiwe Bwana Mungu Wetu.