Ingia / Jisajili

ASIFIWE MUNGU MILELE

Mtunzi: John Martine
> Mfahamu Zaidi John Martine
> Tazama Nyimbo nyingine za John Martine

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: John Martine

Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 1,072

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UTANGULIZI Huyu Mungu matendo yake hayana Dosari, Ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kuaminika , yeye ni ngao kwa wote wa mkimbiliao Usalama '' Ahe...!!! KIITIKIO Asifiwe Bwana Mungu wetu, Asifiwe Bwana Mungu Asifiwe Milele, Asifiwe Mungu ,Asifiwe ,Asifiwe Milele....!!!!

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa