Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo

Maneno ya wimbo

Astahili mwanakondoo, aliyechinjwa kupokea uweza utajiri hekima na nguvu x2. (Heshima) {utukufu na ukuu una yeye milele na milele x2.}

1.Abarikiwe yeye ajeye kwa jina la Bwana ajaye kwa jina la Bwana.

2.Ubarikiwe na ufalme ujao wa Baba yetu Daudi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa