Mtunzi: Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Mfahamu Zaidi Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Renatus Rwelamira Aj.
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 829 | Umetazamwa mara 2,124
Download NotaMimi nipo hapa kati yenu (mtumishi) kama mtumishi nimefanywa kuwa mtumishi wa Injili kwa neema ya pekee neema ya Mungu x2. {Mungu aliyonijalia Mungu kwa uwezo mkuu kwa uwezo mkuu x2}
1.Namwomba Mungu anijalie kunena kadri atakavyo.
2.Mawazo yangu yastahili yale niliyokwisha jifunza