Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 11
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
Astahili mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza nguvu na hekima, utajiri na heshima.
1. Heshima baraka utukufu na ukuu unayeye milele
2. Abarikiwe yeye ajaye kwa jina jina la Bwana ubarikiwe na ufalme ujao wa Baba yetu Daudi