Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 1
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka B
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana, mtakeni Bwana na nguvu zake utafuteni uso wake siku zote.
1. Zikumbukeni ajabu, ajabu zake alizozifanya miujiza yake na hukumu za kinywa chake
2. Yeye Bwana Mungu ndiye Mungu wetu duniani mwote mna hukumu zake