Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 2,106 | Umetazamwa mara 5,667
Download Nota Download MidiAstahili mwanakondoo aliyechinjwa kupokea uweza utajiri na hekima na hekima na nguvu na heshima x2
//: Utukufu na ukuu una yeye hata milele
Utukufu na ukuu una yeye hata milele
Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele ://
1. Njoni kwangu ninyi mlio barikiwa na Baba yangu, urithi ni ufalme mliowekewa tayari