Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 557 | Umetazamwa mara 2,638
Download Nota Download Midi KIITIKIO
Natamani, natamani, kuvaa kutoharibika x 2
Natamani mwili wa utukufu, usiojitenga nawe Kristu Bwana x 2
1. Siku hile nitakapokuja mbinguni, natamani mwili wa kutoharibika.
2. Mwili usiojitenga nawe Kristu, natamani.....................................
3. Mwili usiopatwa nayo magonjwa, natamani.................................
4. Mwili usiokuwa nayo tamaa, natamani..................................