Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 9,722 | Umetazamwa mara 16,828
Download Nota Download MidiBernard Mukasa
Astahili mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea, Uweza na utajiri na hekima na nguvu utajiri na hekima nguvu na heshima
1. Utukufu na ukuu uuna yeye Bwana hata milele milele na milele
2. Njoni kwangu njoni ninyi mlobarikiwa mkaurithi ufalme mliowekewa