Ingia / Jisajili

ASUBUHI NA MAPEMA

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 504 | Umetazamwa mara 1,507

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ASUBUHI NA MAPEMA Asubuhi na mapema jua linahomoza Ndege wanarukaruka wakimsifu Mungu Sote tuingie kwa Bwana malango ya funguliwa Bwana anatu lika kwake twende tumwabudu 1. Pigieni Bwana Mungu kelele za shangwe nchi yote iimbe na utukufu wake. Tukuzeni jina la Bwana kila wakati, matendo ya Bwana yanatisha Kama nini. 2. Wewe umeumba vyote mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo vinakusifu Nikiziangalia viumbe vyako, vyote vinakusifu milele yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa