Ingia / Jisajili

SALA YANGU IPAE

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 355 | Umetazamwa mara 1,347

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SALA YANGU IPAE Sala yangu ipae mbele ya Bwana kama moshi wa ubani altareni 1.Ee Bwana upokee sadaka yetu tunayokutolea kama shukrani - E bwana twakuomba upokee sala zetu 2. E Bwana upokee dhabihu zetu, tunayo kutolea toka shambani - E bwana twakuomba upokee sala zetu 3.E Bwana upokee na nia zetu, tunazokutolea kwa moyo wote - E bwana twakuomba upokee sala zetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa