Ingia / Jisajili

Atukuzwe Baba

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,681 | Umetazamwa mara 9,781

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Atukuzwe Baba, Atukuzwe Mwana) Atukuzwe Baba Akukuzwe Mwana Atukuzwe Baba Atukuzwe Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele Amina.

  1. Umehimidiwa ee Mungu wa Baba zetu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
     
  2. Limehimidiwa jina lako takatifu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
     
  3. Umehimidiwa katika anga la mbinguni, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.

Maoni - Toa Maoni

chas mhagama May 19, 2016
Nimefurahi sana mtaalam Chitopela kuweka huu mziki nilikuwa nautafuta sana, salute kwako.

Toa Maoni yako hapa