Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 8,450 | Umetazamwa mara 14,076
Download NotaKIITIKIO; Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama mkitazama Mbinguni/
atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake Mbinguni Aleluya Aleluya Aleluya x2
mashairi.
1. Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kwa sauti za shangwe
bass/tenor
2. Ndiye mfalme mkuu juu ya Dunia yote Bwana amepaa kwa sauti ya shangwe