Ingia / Jisajili

Atukuzwe Mungu Wetu Pote Daima

Mtunzi: Frt. Victor Lyimo
> Mfahamu Zaidi Frt. Victor Lyimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Victor Lyimo

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Victor Lyimo

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

ATUKUZWE MUNGU WETU POTE DAIMA.

Atukuzwe Mungu wetu pote daima.

1. Tukuzeni Mu-ngu, enyi viumbe, vya dunia na mbinguni; litukuzeni jina la-ke:

2. Mtukuzeni Ye-su, Mu-ngu, mkombozi wetu mwenye huruma; ashangiliwe hapa petu:

3. Tukuzeni Da-mu, ya- Yesu, bora sana kwa binadamu; tumpe shukrani kwa mamaye:

4. Tukuzeni mwi-li, wa-a Yesu, Sakramenti yake tukufu; tumpe heshima altareni:

5. Msifuni ma-ma, wa-a Yesu, Kristu mama wa Mungu wetu; yeye ni mama na bikira:

6. Msifuni mli-shi, wa-a Yesu, msimamizi wetu Yosefu; washangiliwe pasi mwisho


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa